
Mchezo Wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaokutanisha wawakilishi wa Tanzania ni kwamba Vital’O FC Kutoka Burundi itacheza dhidi ya Yanga SC Kutoka huku AZAM FC watacheza dhidi ya APR Ya Kutoka nchini Rwanda.
➡️Vital’O FC vs Young Africans
➡️Azam FC vs APR
Raundi Ya Pili Itakua Hivi:
Mshindi Kati ya Vital’O FC vs Young Africans atacheza na mshindi kati ya SC Villa Jogoo (Uganda) vs Commercial Bank (Ethiopia)
Mshindi kati ya Azam Fc vs APR FC atacheza dhidi ya JKU SC (Zanzibar) vs PYRAMIDS FC (EGYPT)


