
Klabu ya soka ya AZAM FC imefikia makubaliano na klabu ya El Merreikh ya Sudan ya kumnunua moja kwa moja golikipa Mohamed Mustafa baada ya mkataba wa awali wa mkopo kumalizika ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomfanya kusalia Azam FC hadi mwaka 2026.



