
Timu ya Taifa ya Switzerland (Uswisi) imefuzu kucheza Robo Fainali ya UEFAEuro2024 baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Italia ambayo ilipewa nafasi kubwa ya kushinda katika mchezo huo
Hatua inayofuata Uswisi inatarajiwa kucheza mnamo Julai 6, 2024 dhidi ya Mshindi wa Mchezo wa England dhidi ya Slovakia
Italia ilikuwa inapambana kutetea Ubingwa wa Michuano hiyo ambayo iliubeba Mwaka 2020



