
Ushindi huo dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye Uwanja wa Liti umeifanya Simba kuendeleza rekodi yake ya kushinda mechi zote msimu huu katika Ligi Kuu Bara 2023/23 na hivyo kufikisha pointi 15 katika mechi 5
Magoli ya Simba yamewekwa wavuni na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Moses Phiri wakati Deus Kaseke akifunga goli la Singida
AzamFC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 13, Yanga nafasi ya 3 Pointi 12 na KMC nafasi ya 4 kwa pointi 10


