
Ushindi wa goli 1-0 likifungwa na Gabriel Martinelli limeifanya Arsenal kupata furaha kwa mara ya kwanza kuifunga ManchesterCity katika PremierLeague tangu ilipofanya hivyo Desemba 21, 2015
Ushindi huo unaifanya Arsenal kushika nafasi ya pili nyuma ya Tottenham licha ya kuwa timu zote zina pointi 20 wakati Man City ambayo imepoteza mechi mbili mfululizo za EPL ipo nafasi ya tatu ikiwa na alama 18

Kabla ya mchezo wa Leo Oktoba 18, 2023, Man. City haikuwa imepoteza mchezo katika mechi 15 zilizopita dhidi ya Arsenal katika EPL


