
ISRAEL/GAZA: Zaidi ya Watu 500 wakiwemo Raia 350 wa Israel na Wapalestina zaidi ya 230 wanaripotiwa kuuawa katika majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel

Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameapa kuzisambaratisha ngome zote za HAMAS zilizopo katika Mji wa Mpakani wa Gaza

Ripoti zinaeleza kuwa zaidi ya Watu 2,000 wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo. Hadi sasa HAMAS wanadai wanawashikilia zaidi ya Wapiganaji 100 wa Israel.


