
Yanga imepata ushindi huo dhidi ya ASAS ya #Djibouti katika mchezo wa Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam

Kwa matokeo haya #Yanga imesonga mbele kwa magoli 7-1 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ilishinda 2-0
Raundi ya Pili, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya #AlMerrikh ya #Sudan






1 thought on “CAF: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-1”