Chama Cha Madereva Pikipiki (Bodaboda) kimetoa neno kuhusu uwekezaji unaotaka kufanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam, kati ya Tanzania na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP World huku wakiamini kuwa Serikali imeingia kwenye makubaliano hayo kwa Maslai mapana ya nchi.


