Ukweli kuhusu kulazimishwa ngono

©kila mtu anayo haki ya kukataa kufanya ngono
©Kumshinikiza mtu kujamiiana ni ukiukwaji WA haki za Afya ya uzazi ambazo wote tunapaswa kuzifahamu
©Unapomlazimisha mtu kufanya ngono au kumtaka ajieleze Kama alifanya unakuwa umeingilia haki zifuatazo za Afya ya uzazi;
1»Haki ya kuamua lini afanye ngono na afanye na nani
2»Haki ya faragha ( right to privacy)
3»Haki ya kutokunyanyaswa na na kunyanyapaliwa kwa namna yoyote Ile
4»Haki ya kujilinda na maambukizi au uzazi usiotarajiwa pamoja na madhara yake



