
Uongozi wa YANGA umefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Nasreddine Nabi baada ya kocha huyo kuomba kutoongeza mkataba mpya
Awali uongozi wa klabu hiyo ulikutana na kocha Nabi ili kujadili kuhusu kuongezewa mkataba mpya lakini kocha aliomba asiongeze kwani anahitaji changamoto mpya

Ikumbukwe tu kocha Nabi amefanikisha
☑️ kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara mara mbili mfululizo
☑️Mataji mawili ya #azamsportsfederationcup
☑️Mataji mawili ya #ngao ya jamii
☑️Kuifikisha #yangasc kwenye fainali za mashindano ya kombe la shirikisho barani#africa



