
Yanga sc wanahitaji alama 6 katika michezo miwili ya nyumbani ili wajihakikishie nafasi ya kutinga hatua ya Robo fainal,na ukiangalia kwa namna wanavyocheza ni miongoni mwa timu zilizo kamilika katika michuano ya kombe la shirikisho.

Watalazimika kushinda michezo Yao yote ya nyumbani dhidi ya US Monistir pamoja na As Real Bamako huku wakitafta USHINDI au sare ya Aina yoyote ugenini dhidi ya TP Mazembe nchini DRC Congo



