
Yanga SC wanakua mabingwa NBC Premier League 2023/24 wakiwa na mechi tatu mkononi.
Ni baada ya kuifunga Mtibwa Sugar 3-1 na kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikishwa na timu nyingine.
Aidha huu ni ubingwa wao wa tatu mfululizo na ni wa 30 kwao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.


