
UONGOZI wa #Yanga umeweka wazi kuwa ushindi ambao waliupata dhidi ya TP Mazembe Uwanja wa Mkapaule ulikuwa ni kionjo.
Kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi Yanga ilishinda mabao 3-1 huku watupiaji wakiwa ni Kennedy Musonda, Mudhathir Yahya na Tuisila Kisinda.
Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa propaganda ambazo zinasemwa kuhusu timu hiyo kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa itaonyeshwa kwa vitendo.
βTumesikia kwamba kuna watu wanasema kuwa kwenye mechi ambazo tunacheza Uwanja wa Mkapa hatupati matokeo mazuri sasa mchezo wetu ujao tutafanya kweli.
βTunataka Real #Bamako wakiondoka Tanzania waende wakawaambie watu wa nchi yao kwamba wamekutana na Klabu yenye mashabiki bora Afrikaβ
Yanga inatarajiwa kuchezwa na Real Bamako Machi 8 Uwanja wa



