Beki wa kati Wilson Nangu amefanyiwa upasuji wa kifundo cha mguu nchini Afrika Kusini katika jeraha alilopata kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Espérance Sportive de Tunis.