
Mshindi Wa Mchezo Wa Kombe La Shirikikisho wa Awali Kati Ya Uhamiaji FC Kutoka Zanzibar Dhidi ya Mwakilishi wa Libya 1(Mshindi wa Kombe la FA LIBYA) Atacheza Dhidi ya SIMBA SC
Mchezo mwingine wa Kombe la Shirikikisho unaowakutanisha wawakilishi wa Tanzania utakua ni FC Bravos Kutoka Angola watacheza dhidi ya Coastal Union Kutoka Tanzania ambapo Mshindi Wa Mchezo huo atacheza dhidi ya FC LUPOPO Kutoka nchini DR Congo


