
Safu ya ulinzi ya Simba inatarajiwa kuimarishwa kwenye dirisha la usajili litakalofunguliwa mwezi ujao baada ya ligi kuu 2022/23 kumalizika. Wakati kukiwa na taarifa kuwa Joash Onyango ameomba kuachwa ili akatafute changamoto kwingine, Simba imeanza mchakato wa kumsaka mrithi wake. Jicho la kocha Robertinho Oliveira limetua kwa Abdul Rwatubyaye mlinzi wa kati wa klab ya […]
WAKATI ONYANGO AKIOMBA POO …KITASA HIKI HAPA KUTUA SIMBA SC…JAMAA KAKIPIGA MPAKA USA…





