A. Vitu viwili unavyotakiwa kujikagua mara kwa mara;
[1] Pressure[ Presha ].
[2] Sukari.
B. Vitu vinne vya kupunguza katika mlo wako.
[1] Chumvi.
[2] Sukari.
[3] Vyakula na vinywaji vya kusindika.
[4] Nyama nyekundu.
C. Vitu vinne vya kuongeza katika mlo wako.
[1] Mboga za majani.
[2] Mboga za jamaii ya maharage.
[3] Matunda.
[4] Vitu jamii nazi, karanga etc
D. Vitu unavyotakiwa kusahau.
[1] Umri wako.
[2] Mapito yako.
E. Vitu vinne unavyotakiwa kuwa navyo bila kujali wewe ni dahifu au imara kiasi gani.
[1] Marafiki wa kweli wanaokupenda na kukusaidia.
[2] Familia inayokujali.
[3] Mawazo chanya juu ya maisha yako.
[4] Nyumba yenye amani.
F. Vitu vinne unavyotakiwa kufanya ili kuwa mwenye afya.
[1] Kufunga kula mara kwa mara.
[2] Kutabasamau/ Kufurahi.
[3] Mazoezi.
[4] Punguza uzito.



