Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya mshambuliaji kijana, *Valentino Mashaka* kutoka Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili.