

Kocha mkuu wa England Thomas Tuchel ametangaza kikosi cha wachezaji ambao watacheza mechi za kirafiki [ vs Uruguay na vs Japan] kabla ya World Cup
Wachezaji kama Trent Alexander-Arnold, Ollie Watkins na Luke Shaw amewapiga chini na kuwaita James Garner, Kobbie Mainoo na Harry Maguire
Maguire na Mainoo wanaitwa kwa mara ya kwanza na Tuchel, Garner ameitwa kwa mara ya kwanza




