
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake watatu wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
✅ E. Keyekeh (27) ➡️
✅ Arthur Bada (22) ➡️
✅ Damaro Camara (21) ➡️
Golikipa Amas Obasogie (25) ambaye alikuwa raia wa Nigeria nae ni miongoni mwa wachezaji wa Singida Black Stars waliobadili uraia na kuwa Mtanzania.
➡️ Obasogie amejiunga na Singida Black Stars akitokea Fasil Kenema ya Ethiopia



