
Jean Charles Ahoua raia wa Ivory Coast ni mali ya Simba Sc kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Stella Club d’Adjame
Ahoua ni mchezaji bora wa Msimu (MVP) katika Tuzo za Ivory Coast Football Stars.
Lakini pia ni mchezaji bora wa msimu katika klabu yake.
➡️ Msimu huu amehusika katika mabao 21
⚽ Mabao 1️⃣2️⃣
Assists 9️⃣



