Rais Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 6 wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania. Shughuli hiyo imefanyika Ikulu, Dar es salaam.