JIFUNZE KUUSU HILI ⬇️⬇️
MR. ARISTOTLE ALIWAI KUSEMA KUWA
MWANADAMU ANA UWEZO MKUBWA SANA WAKUBADILISHA KITU PEKEE AMBACHO AWEZI KUKIVUMILIA ZAIDI”
Yaani kila mtu unaye muona ana kiwango chake cha kuvumilia hiko kiwango kikuvukwa basi mtu anashindwa kuvumilia tena
Mfano;-
Ebu jaribu sasaivi kuziba pua yako ndani ya dakika tano (5) utajikuta unashindwa kwendelea kuziba pua yako hata kabla ya dakika tano 5 kuisha, na sababu ya kuachia ni umeshindwa kwendelea kuvumilia.
Hata Leo hii kuna aina fulani ya maisha una endelea Kuyaishi hata kama una jua kabsa sio aina ya maisha yako lakini ni kwasababu unaweza kuvumilia basi una endelea kuishi ivyo ivyo
Ebu kaghua maisha yako leo angalia je? Kuna aina gani ya maisha ambayo kabsa sio aina ya maisha lakini bado una endelea kuyaishi na LEO HII UWAMUE KUYABADILISHA MAISHA YAKO BILA KUJALI BADO UNAWEZA KUYAVUMILIA ILA AMUA KUYA BADILI NA AMINI UNAWEZA KUYABADILISHA MAISHA YAKO.



