Mnamo mwaka1868 mwanadada ajulikanaye kama Josephine Myrtle Corbin a.k.a (the four legged woman) alizaliwa huku akiishangaza dunia kwa kua watofauti na binadam wengine kutokana na kuzaliwa na miguu minne,
Miguu yote hiyo ilifanya kazi kama miguu ya kawaida tu, huku mwenyewe akidai kua, “” miguu yake hiyo haikumpa tabu yoyote katika shughuli zake za kila siku hasa katika kazi yake ya salakasi!!!””
Ukiachana na kua na miguu minne, Miss Josephine alizaliwa na seti mbili za via vya uzazi,
{She had two sets of genitals(vaginas)}
Mnamo mwaka 1928 Mwanadada Josephine aliiaga dunia huku akiacha mume mmoja aliedumu nae kwa miaka yote na watoto wanne



