
“Kwangu mimi, huu ndio wajibu wa mwisho kabisa… Ninafurahia sana maana napenda ninachokifanya. Nina bahati, najisikia mwenye heshima kuwa katika nafasi niliyonayo, lakini sio tu kwamba ninaamini ninaweza kuifanya na nipo hapa kwa ajili hiyo,”
“Mimi ni shabiki wa Manchester United, ninaipenda klabu hii na nipo hapa kusaidia. Siwezi kuamua itakuwa kwa muda gani, lakini napenda kuwa hapa na nikiwa hapa, nitajitolea kila kitu niwezacho kufanya vizuri zaidi kwa Manchester United.”
“Muda wote ninapanga kwa ajili ya mustakabali wa muda mrefu kwa manufaa ya klabu ya mpira… Ninaamini ndivyo inavyopaswa kuwa.”



