
Tunafanya kazi ya kupunguza gepu wakati huohuo tunafanya kazi ya kuongeza gepu”
” Tulipomfunga kinara wa ligi kwenye game iliyopita tuliamini tumefanya kazi kubwa ya kupunguza gape, lakini hii leo tumerudi kulekule tena ! .. Kwa hiyo matumaini ya Ubingwa yanazidi kufifia na tunazidi kuyafifisha sisi wenyewe”
“Kesho Yanga akishinda atatuacha alama saba sijui nane, tumerudi kulekule tena !”
“Tumejiweka kwenye mazingira magumu ambayo hapa tulipofikia kila mmoja ana haki,, mwenye kukata tamaa akate tamaa na yule anayeona bado tuweza kupambana aendelee, lakini ni ngumu”
Ahmed Ally Meneja wa habari wa klabu ya Simba akiongea na wanahabari baada ya mchezo



