Wenda hujui siri ya jicho.
Katika makala hii nitakupa vijimambo vya sifa za jicho ila usiache ku-share.
Jicho moja ni sawa na kuchukua kamera 142 za simu uziunganishe kwa pamoja ndio unapata HD ya jicho moja.
Kwenye jicho kama ukitulia utaona kama vitu vinatembea unaweza dhania ni vidudu vinaelea hewani hewani hivyo kama vijidudu unavyo viona vinaelea hewani havipo nje ya mwili bali ni moja ya waya zilizo ndani ya jicho lako mwenyewe.
Jicho lako hutumiwa na ubongo kufanya majaribio ya homoni ya uwoga ili kukujengea ujasiri, kuna mahali unauweza kuona jitu gizani linatisha na mfano wa mtu, ila ukija kuangalia kumbe ni mti au tambala.
Jicho lako ukichelewa kulifumbua asubhi, hufanikisha homoni ya uzembe kuongezeka kwa ratio ya 2:8:5 kwa saa.
Jicho lako lina mafuta ya kulainisha kuta zake 3.8gm mafauta haya yakipungua jicho huwasha, kuwa kavu n.k chanzo ni kutumia kifaa chenye mwanga wa blue e.g simu, pc n.k
Jicho lako linapokosa hewa ya carbon na kukosa hewa ya Oxygen hubadilika rangi ya uwekundu.
Jicho lako lipokuwa limekosa maji au damu huwa jeupe.
Jicho lako huchezesha kope baada ya ubongo ku-miss kutoa machozi ya kulia .
Jicho lako lina mega 180 kama ukibahatika likafikisha 182 au 185 utaona viumbe vya ajabu ambayo binadamu wengine wanapishana navyo ila hawavioni.
Mtu mwenye shida ya ukosefu wa hewa mwenye ubongo jicho lake huwa kubwa.
Jicho lako huwa linaugua mgonjwa kama binadamu wengine hasa homa,kisukari, pressure, pumu, typhoid, minyoo n.k
Jicho lako linaukubwa wa kikombe kimoja cha chai.



