
Fadlu Davids
➡️”Hawatujui vizuri kwasababu tuna timu mpya, nina uhakika 100% hawawezi kutabiri kikosi, mbinu na namna tunavyoingia, hii itakuwa faida kwetu”
Miguel Gamondi
➡️”Ni kweli hatuwajui vizuri, kwasababu mechi hazijaonyeshwa kwenye Tv ila mpira hauna siri”



