
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Emmanuel Nchimbi ameendelea na ziara yake ikiwa nisiku ya Pili Mkoa Wa kigoma akiambatana na Wajumbe wa sekretariet ya CCM Ndugu Amos Makalla katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Issa Gavu katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni pamoja nae ndugu Rabia Abdalla Hamid katibu wa NEC, siasa na uhusiano wa kimataifa.
Leo katibu Mkuu Ndg Emmanuel Nchimbi ame zungumza na Wananchi wa Kigoma Vijijini eneo la Mwandiga.



