
Bado hadi sasa hakuna ofa mpya Kutoka kwa Yanga kumihitaji mshambuliaji Ranga chivaviro wa Marumo Gallants licha ya mshambuliaji Ranga Chivaviro kuwapa nafasi kubwa Yanga kujiunga nao.Awali Yanga ilimpa ofa ya Rand 150,000 Kama mshahara Mshambuliaji Ranga chivaviro dau ambalo menejimenti ya Ranga chivaviro iliigomea.
Habari mpya leo Kutoka menejimenti ya Ranga chivaviro ipo mbioni kukubali dau kutoka timu ya Kazier chiefs baada ya Ranga chivaviro kukubali ofa ya Kazier chiefs.Lakini Bado hadi sasa Chivaviro hajasaini mkataba na kaizer chiefs.
⏳ Ni Olrando pirates na Kaizer chiefs hadi sasa wametuma ofa nono kwa Ranga chivaviro kuwania saini yake”Tunamuheshimu Rais wa Yanga, lakini Kwa sasa hakuna uwezekano wa Ranga Chivaviro kutua Yanga, alishakubali lakini Kaizer Chiefs na Orlando Pirates wameleta ofa bora zaidi”.
Herve Tra Bi, Mkurugenzi wa TNB Sports Agency Management – Kampuni inayomsimamia mshambuliaji Ranga Chivaviro


