, “Ukiweka Ndizi na Pesa mbele ya nyani. Nyani atachagua Ndizi kwa sababu nyani hajui kuwa pesa inaweza kununua Ndizi nyingi.”
Kwa kweli, ukitoa KAZI na BIASHARA kwa watu watachagua KUFANYA KAZI maana watu wengi hawajui kuwa BIASHARA inaweza kutengeneza pesa nyingi kuliko MSHAHARA.
Moja ya sababu ya maskini kuwa maskini ni kwa sababu maskini hawajafundishwa kutambua fursa ya ujasiriamali.
Wanatumia muda mwingi shuleni na wanachojifunza shuleni ni kazi ya kulipwa badala ya kujifanyia kazi.
Faida ni bora kuliko mshahara kwa sababu mshahara unaweza kukusaidia, lakini faida inaweza kukuletea utajiri.


