
Mchezo Kati ya Yanga sc Dhidi ya Kagera sugar FC uliopigwa Katika uwanja wa kmc complex umemalizika kwa klabu ya yanga kuibuka na Ushindi mnono wa bao 4 kwa sifuri wafungaji wakiwa Clement mzize,pacome zouzoua, mudathir yahaya na Kennedy musonda huku Aziz Ki akikosa penalty 1



