1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
“””””””””””””””
●. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
●. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na muda wote hulazimika kutembea na bakora mkononi
●. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali. Atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu.
KAMA HUTAKI HIZO FAIDA 3
ACHA KUVUTA SIGARA



