
Simba wanarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC, baada ya kuondoka na alama tatu muhimu kwenye mchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Tabora United.
Wanafikisha alama 43 na kumshusha Yanga, aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo akiwa na alama 42.
Tabora United 0️⃣ – 3️⃣ Simba SC
⚽ Lionel Ateba 12′ 34′
⚽ Kapombe 66′



