

Collosal Squid’ wanapatikana maeneo ya bahari karibia na bara la Antarctica. Maajabu yake ni kama;
– Mnyama mkubwa zaidi kwa upande wa wanyama wote wasio na uti wa mgongo.
– Mnyama mwenye ‘Jicho’ kubwa zaidi kuliko wanyama wote Duniani.
Jicho lake ni kubwa mfano sawa na mpira wa miguu! ⚽



