“Wanaume hawaogopi kuwa kwenye mahusiano au kuoa wanawake wenye mafanikio; wanahofia kudharauliwa.”
Ni mara chache sana kumuona mwanaume tajiri akizungumza au kufanya vitendo vya dharau kwa mwanamke maskini.”
– 50 Cent anaongeza zaidi Kwa Kusema
“Mwanaume tajiri anaweza kutoka na mwanamke asiye na kitu kabisa bila kumkumbusha kuhusu hali yake ya kiuchumi hata kwa miaka 10.
Lakini ni nadra kuona mwanamke tajiri akiitikia hata salamu kutoka kwa mwanaume asiye na pesa.
Kama ukiwa umeoa na kwa bahati mbaya umekosa pesa mke wako ataanza kuuliza, ‘Hujui nafasi yako kama mwaname? And what do you bring to the table?
Hakuna mwanaume anayechukia kuzidiwa na mafanikio na mke wake au mpenzi wake; tunachohofia na kuchukia ni matokea yake.”



