“Mwanangu aliniomba simu mpya ya iPhone lakini nilimuuliza ni kwanini unataka simu mpya? Alinijibu kuwa wenzake shuleni wanamuambia simu yake imepitwa na wakati. Kisha nikamuuliza tena una shida yoyote kwenye simu yako ya sasa? Alinijibu hapana.
“Nilimuambia hakuna haja ya kuwa na simu mpya ingali simu ya zamani bado ni nzima. Nilikuwa na uwezo wa kumnunulia simu mpya nyingine lakini nilimfundisha kuwa lazima uridhike na ulicho nacho kwa sasa. Wazazi lazima wawafundishe watoto wao hiki kitu”
️ Cristiano Ronaldo*



