
Uongozi wa klab ya singida blackstars sc Umeamua kumrejesha kikosi mwao Kiungo wao anayeitumikia klab ya taborautd fc kwa Mkopo Morice Chukwu,
Imefahamika: Sababu za Chukwu kurejeshwa ni Kocha wa klab yao David Ouma kumhitaji kwakuwa anaamini Kiwango chake kwasasa kimezidi kuwa bora na ana nafasi kuisaidia klab kufikia malengo yao,
Kila kitu kimefanyika na Uongozi wa klab ya Tabora umepokea taarifa hizo nasasa umeanza Mpango wa kuziba nafasi yake na Imefahamika huenda nafasi hiyo ikazibwa na moja kati ya viungo bora wa ligi kuu ya Congo DR kwakuwa walishafanya mazungumzo nae na kila kitu kinaenda sawa,
Dirisha dogo la usajili linafunguliwa Disemba 15.
NB: Malengo ya Singida Black Stars msimu ujao ni kucheza kimataifa.


