Jack Ma ni miongoni mwa matajiri wakubwa sana duniani ambaye historia yake ya maisha ya kuufikia ubillionaire itakufanya usikate tamaa.
Jack Ma alizaliwa mwaka 1964 huko nchini CHINA kwenye familia ya kimasikini sana, ambapo hata kusoma kwake kulikuwa kwa taabu kubwa mno.
Alipohitimu masomo yake aliomba kazi sehemu tofauti tofauti zaidi ya thelathini lakini huko kote alikosa, kinachosikitisha zaidi aliwahi kujitokeza kwenye interview ya kuomba kazi kwenye migahawa ya KFC yeye na wenzake 23 lakini unaambiwa hao 23 walipata lakini yeye akakosa.
Moja Kati ya wafanyakazi wa KFC alimwambia ” wewe hata kazi ya kufagia nje huwezi kupata kwa sababu ya ukilaza wako”
Leo hii Jack Ma yule ni tajiri namba 1 China na namba 17 duniani, anamiliki utajiri wa USD bilioni 57.9(TZS 162 trilioni)
Anamiliki kampuni ya ALIBABA inayofanya kuwezesha biashara za mitandaoni
Yamkini wale wamiliki wa makampuni aliyokuwa akiomba kazi wanatamani japo kuk


