
Real Madrid wakiwa nyumbani Santiago Bernabue wamepata fedheha kwa kupokea kipigo cha 4-0 kutoka kwa FC Barcelona,
Magoli ya Lewandoski ’54 ’56 Yamal ’77 Raphinha ’84.
Ushindi huu unavunja mwiko wa Real Madrid kucheza michezo 42 ya La Liga bila kupoteza,
Wakiwa wanakaribia rekodi iliyowekwa na Barcelona ya kucheza michezo 43 bila kupoteza.
Barcelona wanafikisha alama 30 ikiwa ni tofauti ya alama 6 na mahasimu wao Madrid wenye alama 24.
Barcelona leo wametuma ujumbe kuwa pesa si kila kitu



