_Maandalizi yanaendelea yanalenga kuwapa waamuzi ujuzi na maarifa muhimu kabla ya kuanzishwa matumizi bora ya teknolojia ya Video Assistant Referee (VAR) katika soka la Tanzania._
Ni hatua kubwa kuelekea kuboresha viwango vya uamuzi katika ligi. 👏