Miaka ya sasa mmekuwa mkisemwa sana kuliko kipindi cha dada zenu.
-Mnaitwa malaya,
-Mnaitwa vyura,
-Mnaitwa chaja ya kobe,
-Mnaitwa samaki (mnageuzwa kote kote)
-Mnaitwa kiwanda cha U.T.I sugu na kadhalika🥺🥺
👉🏽Shida ni vile mnavyoendesha maisha yenu,
👉🏽Shida ni vile mnapenda maisha ya kuiga,
👉🏽Shida ni vile hamkanyiki,
👉🏽Shida ni vile hamtaki kuonekana mko nyuma ya wakati,
👉🏽Shida ni vile maisha ya utandawazi yamewavuruga.
Mnataka kila mkionacho na nyie mfanye, mmeweka tamaa mbele kuliko utu wenu.
Picha chafu za ngono zilikuwepo tangu kitambo,
Dada zenu walikuwa wanachukulia kama jambo la kutungwa tu na halina uhalisia wowote lakini nyinyi mnaangalia na kuyafanya yale myaonayo.
Mwisho wa siku mnaingia kwenye michezo michafu ya KUFIRANA na wakati huo huo mnaiga kila kitu cha kwenye X mwanaume anakuingilia nyuma kisha anatoa uume anakuingiza ukeni.
Mnafurahi na kujiona dunia mmeishika,
Mnajiona nyie ndio mabingwa wa mapenzi bila kujua mnajitengenezea mabomu huko kwenye NYUKE zenu.
Hiyo michezo dada zenu hawakuwahi kuicheza,
Mwanaume akikugusia huo mchezo unamuona mchawi au shetani kabisa mwenye miguu 7.
Kipindi dada zenu wanakua hawakuwahi kusikia habari za Kuugua
📌Fangasi ukeni,
📌Harufu mbaya ukeni,
📌Kutokwa mimaji ukeni wala hizo U.T.I
Hawakuwahi kusikia matangazo ya madawa ya kuweka ukeni eti ili wabane uke, walete joto ukeni, waondoe maji ukeni, waondoe harufu mbaya ukeni nk.
Walikuwa natural na mashem wenu mpaka sasa hawana ujanja juu yetu.
Wadogo zangu me nawapenda sana tena sana,
Kwakuwa umri mlio nao hata Dada zenu wapita huko.
_Acheni kuiga vitu visivyo na tija kwenu,acheni tamaa ya vitu msivyo na uwezo navyo ambavyo vinapelekea kugawa miili yenu hovyo ili kuvimiliki hivyo vitu._
Mnajitengenezea nuksi na mikosi tu, kisha baadae muanze kumtafuta mchawi.
📌Kumbukeni madhara ya jambo lolote huwa hayaonekani leo, huonekana baadae ambapo ushasahau kila kitu.
Nawapenda wadogo zangu, tulieni ili mpate wenu wa baraka mliopangiwa na Mwenyezi Mungu.


