1. Kupumua kwa kina (Deep Breathing) – Mbinu kama Box Breathing hupunguza cortisol na kutuliza mwili.
2. Mazoezi ya mwili – Huongeza endorphins zinazoboresha hisia na kupunguza stress.
3. Lishe bora – Omega-3, magnesium, na dark chocolate husaidia kupunguza stress, epuka sukari na kahawa nyingi.
4. Usingizi wa kutosha (7-9 hrs) – Kulala vizuri husaidia kudhibiti homoni za stress.
5. Kuandika hisia (Journaling) – Husaidia kushughulikia stress kwa kueleza hisia na kushukuru.
Zingatia haya kwa afya bora ya akili!



