-Mnamo mwaka 1903’s Wanawasili Wafungwa wawili katika jera hiyo kutumikia vifungo vyao kwa makosa mawili tofauti.
-Cha kushangaza Wafungwa hao walikuwa wanamuonekano ulishabihiana Kwa kila kitu ila walikuwa hawajuani na wala hawakuwahi kuonana kabla.
-Kidogo ili wapa ugumu sana maafisa wa Magereza kwani walishindwa kabisa kuwatofautisha.Cha ajabu pia hata majina yao yalitaka kulandana pia:-
1.William West
2.Willy West
-Hivyo kuwatofautisha ilibidi watumia alama za vidole vyao ya finger print.Ndio mara ya kwanza finger print ilitumiwa katika utambuzi katika Magereza.



